Msimamo Ligi Kuu Tanzania Bara 2025/26: Yanga SC Yaendelea Kuchanja Mbuga, Simba SC Yapumulia Kisogo
Mchuano wa kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026 umezidi kupamba moto baada ya kukamilika kwa mzunguko wa 19. Klabu ya Young Africans (Yanga SC) imeendelea kukalia usukani wa ligi hiyo, huku watani wao wa jadi, Simba SC, wakifanya kila jitihada kuziba pengo la alama. Katika makala haya, tunakuleta msimamo wa sasa,